caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ad-Dukhaan, Aya 19

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 64 · 44:19

وَأَن لَّا تَعْلُوا۟ عَلَى ٱللَّهِ إِنِّىٓ ءَاتِيكُم بِسُلْطَٰنٍ مُّبِينٍ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa msimfanyie kiburi Mwenyezi Mungu; hakika mimi nitakuleteeni uthibitisho ulio wazi.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa msimfanyie kiburi Mwenyezi Mungu; hakika mimi nitakuleteeni uthibitisho ulio wazi.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70