caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Az-Zukhruf, Aya 82

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 63 · 43:82

سُبْحَٰنَ رَبِّ ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلْأَرْضِ رَبِّ ٱلْعَرْشِ عَمَّا يَصِفُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterAmetakasika Mola Mlezi wa mbingu na ardhi, Mola Mlezi wa A'rshi, na hayo wanayomsifia.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAmetakasika Mola Mlezi wa mbingu na ardhi, Mola Mlezi wa A'rshi, na hayo wanayo msifia.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70