caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Az-Zukhruf, Aya 79

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 63 · 43:79

أَمْ أَبْرَمُوٓا۟ أَمْرًا فَإِنَّا مُبْرِمُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterAu waliweza kupitisha amri yao? Bali ni Sisi ndio tunaopitisha.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAu waliweza kupitisha amri yao? Bali ni Sisi ndio tunao pitisha.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70