caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Az-Zukhruf, Aya 78

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 63 · 43:78

لَقَدْ جِئْنَٰكُم بِٱلْحَقِّ وَلَٰكِنَّ أَكْثَرَكُمْ لِلْحَقِّ كَٰرِهُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterKwa yakini tulikuleteeni Haki, lakini wengi katika nyinyi mlikuwa mnaichukia Haki.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniKwa yakini tulikuleteeni Haki, lakini wengi katika nyinyi mlikuwa mnaichukia Haki.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70