إِنَّ ٱلْمُجْرِمِينَ فِى عَذَابِ جَهَنَّمَ خَٰلِدُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterKwa hakika wakosefu watakaa katika adhabu ya Jahannamu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniKwa hakika wakosefu watakaa katika adhabu ya Jahannamu.