caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Az-Zukhruf, Aya 50

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 63 · 43:50

فَلَمَّا كَشَفْنَا عَنْهُمُ ٱلْعَذَابَ إِذَا هُمْ يَنكُثُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi tulipowaondolea adhabu hiyo, mara wakaingia kuvunja ahadi.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi tulipo waondolea adhabu hiyo, mara wakaingia kuvunja ahadi.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70