caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Az-Zukhruf, Aya 47

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 63 · 43:47

فَلَمَّا جَآءَهُم بِـَٔايَٰتِنَآ إِذَا هُم مِّنْهَا يَضْحَكُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterLakini alipowajia na Ishara zetu, wakaingia kuzicheka.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniLakini alipo wajia na Ishara zetu wakaingia kuzicheka.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70