caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Az-Zukhruf, Aya 41

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 63 · 43:41

فَإِمَّا نَذْهَبَنَّ بِكَ فَإِنَّا مِنْهُم مُّنتَقِمُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa hata tukikuondoa, Sisi tutalipiza kisasi chetu kwao.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa hata tukikuondoa, Sisi tutalipiza kisasi chetu kwao.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70