caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Az-Zukhruf, Aya 34

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 63 · 43:34

وَلِبُيُوتِهِمْ أَبْوَٰبًا وَسُرُرًا عَلَيْهَا يَتَّكِـُٔونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa milango ya nyumba zao na vitanda wanavyoegemea juu yake.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa milango ya nyumba zao na vitanda wanavyo egemea juu yake,
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70