caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Az-Zukhruf, Aya 21

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 63 · 43:21

أَمْ ءَاتَيْنَٰهُمْ كِتَٰبًا مِّن قَبْلِهِۦ فَهُم بِهِۦ مُسْتَمْسِكُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterKwani tuliwapa Kitabu kabla ya hiki, na ikawa wao wanakishikilia hicho.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniKwani tuliwapa Kitabu kabla ya hichi, na ikawa wao wanakishikilia hicho?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70