caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Az-Zukhruf, Aya 16

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 63 · 43:16

أَمِ ٱتَّخَذَ مِمَّا يَخْلُقُ بَنَاتٍ وَأَصْفَىٰكُم بِٱلْبَنِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterAu amejichukulia watoto wanawake katika vile alivyoviumba, na akakuteulieni nyinyi watoto wanaume?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAu amejichukulia watoto wanawake katika vile alivyo viumba, na akakuteulieni nyinyi watoto wanaume?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70