وَلَمَنِ ٱنتَصَرَ بَعْدَ ظُلْمِهِۦ فَأُو۟لَٰٓئِكَ مَا عَلَيْهِم مِّن سَبِيلٍ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa wanaojitetea baada ya kudhulumiwa, hao hapana njia ya kuwalaumu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa wanao jitetea baada ya kudhulumiwa, hao hapana njia ya kuwalaumu.