caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ash-Shura, Aya 34

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 62 · 42:34

أَوْ يُوبِقْهُنَّ بِمَا كَسَبُوا۟ وَيَعْفُ عَن كَثِيرٍ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterAu huviangamiza hivyo vyombo kwa sababu ya waliyoyatenda hao watu. Naye husamehe mengi.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAu huviangamiza hivyo vyombo kwa sababu ya waliyo yatenda hao watu. Naye husamehe mengi.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70