caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ash-Shura, Aya 35

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 62 · 42:35

وَيَعْلَمَ ٱلَّذِينَ يُجَٰدِلُونَ فِىٓ ءَايَٰتِنَا مَا لَهُم مِّن مَّحِيصٍ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa ili wajue wanaojadiliana katika Ishara zetu kwamba hawana pahali popote pa kukimbilia.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa ili wajue wanao jadiliana katika Ishara zetu kwamba hawana pahala pa kukimbilia.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70