caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Fussilat, Aya 19

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 61 · 41:19

وَيَوْمَ يُحْشَرُ أَعْدَآءُ ٱللَّهِ إِلَى ٱلنَّارِ فَهُمْ يُوزَعُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa siku watakapokusanywa maadui wa Mwenyezi Mungu kwenye Moto, nao wakigawanywa kwa makundi.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa siku watakapo kusanywa maadui wa Mwenyezi Mungu kwenye Moto, nao wakikgawanywa kwa makundi.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70