caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Ghaafir, Aya 73

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 60 · 40:73

ثُمَّ قِيلَ لَهُمْ أَيْنَ مَا كُنتُمْ تُشْرِكُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterTena wataambiwa: Wako wapi wale mliokuwa mkiwashirikisha.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniTena wataambiwa: Wako wapi mlio kuwa mkiwashirikisha.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70