caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Ghaafir, Aya 63

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 60 · 40:63

كَذَٰلِكَ يُؤْفَكُ ٱلَّذِينَ كَانُوا۟ بِـَٔايَٰتِ ٱللَّهِ يَجْحَدُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNamna hivi ndivyo walivyogeuzwa wale waliokuwa wakizikataa Ishara za Mwenyezi Mungu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNamna hivi ndivyo walivyo geuzwa walio kuwa wakizikataa Ishara za Mwenyezi Mungu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70