وَيَٰقَوْمِ إِنِّىٓ أَخَافُ عَلَيْكُمْ يَوْمَ ٱلتَّنَادِ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa enyi watu wangu! Hakika mimi nawahofia Siku ya mayowe.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa enyi watu wangu! Hakika mimi nakukhofieni Siku ya mayowe.