caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Ghaafir, Aya 23

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 60 · 40:23

وَلَقَدْ أَرْسَلْنَا مُوسَىٰ بِـَٔايَٰتِنَا وَسُلْطَٰنٍ مُّبِينٍ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa kwa yakini tulimtuma Musa pamoja na Ishara zetu na uthibitisho ulio wazi.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa kwa yakini tulimtuma Musa pamoja na Ishara zetu na uthibitisho ulio wazi,
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70