أَمْ لَهُمْ نَصِيبٌ مِّنَ ٱلْمُلْكِ فَإِذًا لَّا يُؤْتُونَ ٱلنَّاسَ نَقِيرًا
Swahili Translation - Rowad Translation CenterAu wanalo fungu katika mamlaka? Basi hapo wasingewapa watu hata jicho la kokwa ya tende.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAu wanayo sehemu ya utawala? Basi hapo wasingewapa watu hata tundu ya kokwa ya tende.