caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura An-Nisaa, Aya 42

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 92 · 4:42

يَوْمَئِذٍ يَوَدُّ ٱلَّذِينَ كَفَرُوا۟ وَعَصَوُا۟ ٱلرَّسُولَ لَوْ تُسَوَّىٰ بِهِمُ ٱلْأَرْضُ وَلَا يَكْتُمُونَ ٱللَّهَ حَدِيثًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterSiku hiyo watapenda wale waliokufuru na wakamuasi Mtume lau kuwa ardhi isawazishwe kwa wao. Wala hawataweza kumficha Mwenyezi Mungu neno lolote.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniSiku hiyo walio kufuru na wakamuasi Mtume watatamani Ardhi isawazishwe juu yao. Wala hawataweza kumficha Mwenyezi Mungu neno lolote.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70