إِنَّ ٱلَّذِينَ كَفَرُوا۟ وَصَدُّوا۟ عَن سَبِيلِ ٱللَّهِ قَدْ ضَلُّوا۟ ضَلَٰلًۢا بَعِيدًا
Swahili Translation - Rowad Translation CenterHakika, wale waliokufuru na wakaizuilia Njia ya Mwenyezi Mungu, hakika wamekwishapotea kupotea kwa mbali.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHakika walio kufuru na wakazuilia Njia ya Mwenyezi Mungu, wamekwisha potelea mbali.