caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura An-Nisaa, Aya 168

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 92 · 4:168

إِنَّ ٱلَّذِينَ كَفَرُوا۟ وَظَلَمُوا۟ لَمْ يَكُنِ ٱللَّهُ لِيَغْفِرَ لَهُمْ وَلَا لِيَهْدِيَهُمْ طَرِيقًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHakika, wale waliokufuru na wakadhulumu, hakuwa Mwenyezi Mungu ni wa kuwafutia dhambi wala kuwaongoa njia.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHakika wale walio kufuru na wakadhulumu hawi Mwenyezi Mungu kuwasamehe wala kuwaongoa njia.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70