caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura An-Nisaa, Aya 121

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 92 · 4:121

أُو۟لَٰٓئِكَ مَأْوَىٰهُمْ جَهَنَّمُ وَلَا يَجِدُونَ عَنْهَا مَحِيصًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHao makao yao ni Jahannam, na wala hawatapata makimbilio kutoka humo.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHao makao yao ni Jahannamu, na wala hawapati makimbilio kutoka humo.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70