caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura An-Nisaa, Aya 120

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 92 · 4:120

يَعِدُهُمْ وَيُمَنِّيهِمْ وَمَا يَعِدُهُمُ ٱلشَّيْطَٰنُ إِلَّا غُرُورًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterAnawaahidi, na anawatia tamaa. Na Shetani hawaahidi isipokuwa udanganyifu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAnawaahidi na anawatia tamaa. Na Shet'ani hawaahidi ila udanganyifu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70