caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura An-Nisaa, Aya 118

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 92 · 4:118

لَّعَنَهُ ٱللَّهُ وَقَالَ لَأَتَّخِذَنَّ مِنْ عِبَادِكَ نَصِيبًا مَّفْرُوضًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterMwenyezi Mungu amemlaani. Naye Shetani akasema: Hakika, nitachukua sehemu maalumu katika waja wako.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniMwenyezi Mungu amemlaani. Naye Shet'ani alisema: Kwa yakini nitawachukua sehemu maalumu katika waja wako.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70