caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura An-Nisaa, Aya 117

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 92 · 4:117

إِن يَدْعُونَ مِن دُونِهِۦٓ إِلَّآ إِنَٰثًا وَإِن يَدْعُونَ إِلَّا شَيْطَٰنًا مَّرِيدًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterWao hawawaombi badala yake Yeye isipokuwa vya kike, na wala hawamuombi isipokuwa Shetani aliyeasi.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWao hawawaombi badala yake Yeye ila wanawake, wala hawamuombi ila Shet'ani aliye asi.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70