caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Az-Zumar, Aya 64

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 59 · 39:64

قُلْ أَفَغَيْرَ ٱللَّهِ تَأْمُرُوٓنِّىٓ أَعْبُدُ أَيُّهَا ٱلْجَٰهِلُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterSema: Je, mnaniamrisha nimuabudu asiyekuwa Mwenyezi Mungu, enyi majahili?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniSema: Je! Mnaniamrisha nimuabudu asiye kuwa Mwenyezi Mungu, enyi majaahili?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70