caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Az-Zumar, Aya 57

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 59 · 39:57

أَوْ تَقُولَ لَوْ أَنَّ ٱللَّهَ هَدَىٰنِى لَكُنتُ مِنَ ٱلْمُتَّقِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterAu ikasema: Ingelikuwa Mwenyezi Mungu ameniongoa, bila ya shaka ningelikuwa miongoni mwa wenye kumcha Mungu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAu ikasema: Ingeli kuwa Mwenyezi Mungu ameniongoa, bila ya shaka ningeli kuwa miongoni mwa wenye kumchamngu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70