caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Az-Zumar, Aya 50

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 59 · 39:50

قَدْ قَالَهَا ٱلَّذِينَ مِن قَبْلِهِمْ فَمَآ أَغْنَىٰ عَنْهُم مَّا كَانُوا۟ يَكْسِبُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterWaliyasema haya wale waliokuwa kabla yao, lakini hayakuwafaa waliyokuwa wakiyachuma.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWaliyasema haya waliyo kuwa kabla yao, lakini hayakuwafaa waliyo kuwa wakiyachuma.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70