caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Az-Zumar, Aya 28

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 59 · 39:28

قُرْءَانًا عَرَبِيًّا غَيْرَ ذِى عِوَجٍ لَّعَلَّهُمْ يَتَّقُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterQur-ani ya Kiarabu isiyo na upogo, ili wamche Mungu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniQur'ani ya Kiarabu isiyo na upogo, ili wamche Mungu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70