هَٰذَا وَإِنَّ لِلطَّٰغِينَ لَشَرَّ مَـَٔابٍ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNdiyo hivi! Na hakika wenye kuasi bila ya shaka watapata marudio maovu kabisa;
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNdio hivi! Na hakika wenye kuasi bila ya shaka watapata marudio maovu kabisa;