caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Saad, Aya 31

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 38 · 38:31

إِذْ عُرِضَ عَلَيْهِ بِٱلْعَشِىِّ ٱلصَّٰفِنَٰتُ ٱلْجِيَادُ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterAlipopelekewa jioni farasi wasimamao kidete, tayari kutoka shoti.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAlipo pelekewa jioni farasi wasimamao kidete, tayari kutoka shoti;
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70