caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Saad, Aya 3

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 38 · 38:3

كَمْ أَهْلَكْنَا مِن قَبْلِهِم مِّن قَرْنٍ فَنَادَوا۟ وَّلَاتَ حِينَ مَنَاصٍ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterMataifa mangapi tumeyaangamiza kabla yao, na wakapiga kelele, lakini wakati wa kuokoka ulikwishapita.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniMataifa mangapi tumeyaangamiza kabla yao, na wakapiga kelele, lakini wakati wa kuokoka ulikwisha pita.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70