وَثَمُودُ وَقَوْمُ لُوطٍ وَأَصْحَٰبُ لْـَٔيْكَةِ أُو۟لَٰٓئِكَ ٱلْأَحْزَابُ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa Thamud na kaumu Luti na watu wa Machakani. Hayo ndiyo makundi.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa Thamud na kaumu Lut'i na watu wa Machakani. Hayo ndiyo makundi.