caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura As-Saaffaat, Aya 67

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 56 · 37:67

ثُمَّ إِنَّ لَهُمْ عَلَيْهَا لَشَوْبًا مِّنْ حَمِيمٍ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterKisha juu yake wanyweshwe mchanganyo wa maji ya moto yaliyochemka.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniKisha juu yake wanyweshwe mchanganyo wa maji yamoto yaliyo chemka.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70