caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura As-Saaffaat, Aya 68

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 56 · 37:68

ثُمَّ إِنَّ مَرْجِعَهُمْ لَإِلَى ٱلْجَحِيمِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterKisha hakika marejeo yao bila ya shaka yatakuwa Jahimu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniKisha hakika marejeo yao bila ya shaka yatakuwa kwenye Jahannamu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70