caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura As-Saaffaat, Aya 36

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 56 · 37:36

وَيَقُولُونَ أَئِنَّا لَتَارِكُوٓا۟ ءَالِهَتِنَا لِشَاعِرٍ مَّجْنُونٍۭ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa wakisema: Hivyo sisi tuiache miungu yetu kwa ajili ya huyu mtunga mashairi mwendawazimu?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa wakisema: Hivyo sisi tuiache miungu yetu kwa ajili ya huyu mtunga mashairi mwendawazimu?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70