ٱحْشُرُوا۟ ٱلَّذِينَ ظَلَمُوا۟ وَأَزْوَٰجَهُمْ وَمَا كَانُوا۟ يَعْبُدُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterWakusanyeni wale waliodhulumu, na wote walio mfano wao, na hao ambao wao walikuwa wakiwaabudu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWakusanyeni walio dhulumu, na wake zao, na hao walio kuwa wakiwaabudu.