caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura As-Saaffaat, Aya 180

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 56 · 37:180

سُبْحَٰنَ رَبِّكَ رَبِّ ٱلْعِزَّةِ عَمَّا يَصِفُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterAmetakasika Mola wako Mlezi Mwenye utukufu mbali na yale wanayomzulia.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniSubhana Rabbi'l'Izzat Ametakasika Mola Mlezi Mwenye enzi na yale wanayo mzulia.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70