caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura As-Saaffaat, Aya 171

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 56 · 37:171

وَلَقَدْ سَبَقَتْ كَلِمَتُنَا لِعِبَادِنَا ٱلْمُرْسَلِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa bila ya shaka neno letu lilikwisha tangulia kwa waja wetu waliotumwa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa bila ya shaka neno letu lilikwisha tangulia kwa waja wetu walio tumwa.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70