caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura As-Saaffaat, Aya 16

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 56 · 37:16

أَءِذَا مِتْنَا وَكُنَّا تُرَابًا وَعِظَٰمًا أَءِنَّا لَمَبْعُوثُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterAti tukishakufa na tukawa udongo na mifupa ndio kweli tutafufuliwa?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAti tukisha kufa na tukawa udongo na mifupa ndio kweli tutafufuliwa?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70