caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura As-Saaffaat, Aya 14

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 56 · 37:14

وَإِذَا رَأَوْا۟ ءَايَةً يَسْتَسْخِرُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa wanapoona Ishara, wanafanya masihara.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa wanapo ona Ishara, wanafanya maskhara.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70