caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Yaseen, Aya 82

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 41 · 36:82

إِنَّمَآ أَمْرُهُۥٓ إِذَآ أَرَادَ شَيْـًٔا أَن يَقُولَ لَهُۥ كُن فَيَكُونُ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHakika amri yake anapotaka kitu ni kukiambia tu: Kuwa! Na kikawa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHakika amri yake anapo taka kitu ni kukiambia tu: Kuwa! Na kikawa.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70