caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Yaseen, Aya 83

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 41 · 36:83

فَسُبْحَٰنَ ٱلَّذِى بِيَدِهِۦ مَلَكُوتُ كُلِّ شَىْءٍ وَإِلَيْهِ تُرْجَعُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi ametakasika yule ambaye mkononi mwake umo Ufalme wa kila kitu; na kwake Yeye mtarejeshwa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi Ametakasika yule ambaye mkononi mwake umo Ufalme wa kila kitu; na kwake Yeye mtarejeshwa.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70