ٱلَّذِى جَعَلَ لَكُم مِّنَ ٱلشَّجَرِ ٱلْأَخْضَرِ نَارًا فَإِذَآ أَنتُم مِّنْهُ تُوقِدُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterAliyekujaalieni kupata moto kutokana na mti wa kijani nanyi mkawa kwa huo mnawasha.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAliye kujaalieni kupata moto kutokana na mti wa kijani nanyi mkawa kwa huo mnawasha.