caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Yaseen, Aya 76

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 41 · 36:76

فَلَا يَحْزُنكَ قَوْلُهُمْ إِنَّا نَعْلَمُ مَا يُسِرُّونَ وَمَا يُعْلِنُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi maneno yao yasikuhuzunishe. Hakika Sisi tunayajua wanayoyaweka siri na wanayoyadhihirisha.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi maneno yao yasikuhuzunishe. Hakika Sisi tunayajua wanayo yaweka siri na wanayo yatangaza.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70