caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Yaseen, Aya 75

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 41 · 36:75

لَا يَسْتَطِيعُونَ نَصْرَهُمْ وَهُمْ لَهُمْ جُندٌ مُّحْضَرُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHawataweza kuwasaidia. Bali hao ndio askari wao, watahudhurishwa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHawataweza kuwasaidia. Bali hao ndio watakuwa askari wao watakao hudhurishwa.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70