وَلَهُمْ فِيهَا مَنَٰفِعُ وَمَشَارِبُ أَفَلَا يَشْكُرُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa wao wanapata kwao manufaa na vinywaji. Basi je, hawashukuru?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa wao wanapata kwao manufaa na vinywaji. Basi je, hawashukuru?