لِّيَجْزِىَ ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ وَعَمِلُوا۟ ٱلصَّٰلِحَٰتِ أُو۟لَٰٓئِكَ لَهُم مَّغْفِرَةٌ وَرِزْقٌ كَرِيمٌ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterIli awalipe wale walioamini na wakatenda mema. Hao watapata msamaha na riziki ya ukarimu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniIli awalipe walio amini na wakatenda mema. Hao watapata msamaha na riziki ya ukarimu.